Mashine
Mashine sahili. Kuna vifaa sita vinavyojulikana tangu kale na kuitwa mashine sahili (pia: mashine rahisi). Vinaongeza nguvu ya kani au vinabadilisha mwelekeo wake na kupatikana ndani ya mashine tata yaani mashine zinazojumlisha vipande vingi. wenzo (nyenzo), au nondo inayosaidia kuhamisha na kupandisha mizigo mikubwa kwa kutumia nguvu ndogo.